Wednesday, 20 August 2014

POLITICS IN MOI UNIVERSITY

Just like the nation politics, in Moi University main campus at the moment 90% of the students talk politics .From the research i have carried out, with every ten students you meet  nine will be talking about the campus politics.
As the days for the campaign continuous to elapse every contestant is laying the strategies to ensure that he comes out as the winner in the final day.
As you walk around the university highways the environment has completely changed with the posters decoration.
The Moi University Students carried out their campaign assuring their fellow comrades how competent they were in the posts they were vying for.
Here is how the campaign was. hope you will enjoy. politics in Moi University

.

Monday, 11 August 2014

CHOCHOTE CHA WEZEKANA

Mpira ulioundwa na kuambwa kwa ngozi ya mnyama uligaragazwa katika uwanja wa Wembley hapo jana. Wana wa profesa Arsen Venga walitaka kulipiza kisasi cha maboa matano kwa matatu  waliyo chabangwa na mabigwa wa uingera Manchester City.
Ingawa hawakueza kulipiza kisasi hapo jana walipokuwa wakigaragaza mpira wa wavu kuwania ngao yani(community shield) jinsi inavyo ng'amuliwa na wanaokijua kimombo.
Wana wa Arsenali waliwachabanga na kuwarindima mabingwa hao wa uingereza mabao matatu bila jawabu.
Ilikuwa ni furaha kwa mashabiki wa Arsenali na pia kwa nahodha mpya Arteta baada ya kuchukua tuzo ya kwanza kwa siku ya kwanza akiwa nahadha kwa finali ya kwanza.
Msafiri ni aliye bandarini, hivi ndivo wazee wa miaka na mikaka walivyotuelimisha. Arsenali wameanza safari yao ya kuwania mataji na wamedhibitisha kwamba wanaweza kuleta upinzani mkali mashindanoni msimu huu. Langu ni kutia amcho masikio nakutaka kujibuwa na kudhibitisha msemo huu.
Arsenal captain Mikel Arteta lifts the Community Shield
Arsenal players with community shield trophy